![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > glasi ya visa
glasi ya visa
glasi ya koktail ni glasi ya shina ambayo ina bakuli lenye umbo la kawa kuwekwa kwa shina juu ya msingi bamba. Kutumika hasa kupakua visa. Fomu yake inatokana na ukweli kwamba visa vyote hupakuliwa baridi kidesturi na vyenye hiki ya kunukia. Hivyo, shina inaruhusu mnywaji kushikilia glasi bila kuathiri joto la kinywaji, na bakuli pana huweka uso wa kinywaji moja kwa moja chini ya pua ya mnywaji, kuhakikisha kwamba hiki ya kunukia ina athari inayotakikana. Kiwango cha glasi ya visa kina 4.5 aunsi ya maji ya Marekani (13.3 cl).
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
udhibiti wa uhalifu
Mbinu zilizotumika kupunguza au kuzuia uhalifu katika jamii kwa kudhibiti vitendo au vitendo uwezekano wa wahalifu. Hizi ni pamoja na kutumia adhabu ...