
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > pasaka
pasaka
Karamu kubwa na kongwe zaidi ya kikristo, ambayo inaadhimisha Ufufuko wa Kristo kutoka wafu. Pasaka ni "sikukuu ya sikukuu," maadhimisho ya maadhimisho, "Jumapili Kuu". "Wakristo hujiandaa kwa ajili yake wakati wa Kwaresima na Wiki Mtakatifu, na wakatechume kawaida hupokea Sakramenti za kikristo (Ubatizo, Kipaimara, Ekaristi) katika mkesha wa Pasaka (1169; taz 647).
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
elimu ya sehemu nyeti
kosa la kiaibu la tamko ambalo lilifaa kumaanisha "elimu ya umma" wakati wa udhamini uliotolewa na Wilaya ya Maeneo ya Shule za Simba ...
贡献者
精选词汇表
按照类别浏览术语
- 医学(68317)
- 癌症治疗(5553)
- 疾病(4078)
- Genetic disorders(1982)
- Managed care(1521)
- 验光(1202)