![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > kuweka
kuweka
Hatua ya Mary na Yusufu Kumuweka na kumtoa Yesu kwa Mungu katika Kanisa(Lk 2:22-39), ni sawa na Sheria ya Musa kuhusu wazaliwa wa kwanza. Katika hali ya uwekaji, Simioni na Ana waliweza kuona matarajio ya waisraeli kwa Mesiha aliyeongojewa kwa mda mrefu, sio tu kuwamwangaza kwa taifa na utukufu kwa waisraeli, bali pia kuwa kama ishara ya ukinzani (529). Kupeana kwa zawadi,haswa kwa mkate na divai, ni njia ya kutayarisha liturujia ya Ekarista katika Ibada (1346).
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
iwapo umeibiwa
iwapo ina kitu chochote kimeibiwa, tafadhali wasiliana na polisi mara moja.
精选词汇表
按照类别浏览术语
- 会议(3667)
- 活动策划(177)
- Exhibition(1)
公约(3845) Terms
- 护肤(179)
- 整容手术(114)
- Hair style(61)
- 乳房植入体(58)
- Cosmetic products(5)