主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > Spika
Spika
Spika wa bunge ni kiongozi wa chama kilicho na wawakilishi wengi bungeni(pasiwe na utata na kiongozi wa wengi bungeni)
Yeye ana majukumu mawili kama kiongozi wa chama chake bungeni na tena kama afisa msimamizi ndani ya bunge mwenye jukumu la kudhibiti mijadala na kuongoza ajenda za kisheria bungeni.
Chini ya kifungu cha sheria cha Urithi wa Urais mwaka 1947,spika wa bunge ni wa pili katika urithi wa urais baada ya makamu wa rais.
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
行业/领域: 网络硬件 类别
mtandao wa tarakilishi
mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa