主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > mgombea-mwenza
mgombea-mwenza
Punde chama kinapoteua mgombezi wake wa urais,yule aliyeteuliwa huchagua mwanasiasa mwenzake,ajulikanaye kama mgombea-mwenza,ili agombee naye katika uchaguzi wa urais na iwapo atachaguliwa basi atakuwa makamu wa rais.
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
Iowa Kamati za Wabunge
Kamati za Wabunge Iowa ni mfululizo wa mikutano ya uchaguzi uliofanyika kwa wanachama wa ndani na chama cha siasa na kuchagua wajumbe kwa mkataba wa ...