主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > Usher.

Usher.

Usher Raymond wa nne,alizaliwa tarehe kumi na nne mwezi wa oktoba,mwaka wa elfu moja mia tisa sabini na nane.mwimbaji.mchezaji na muigizaji mwamerika Alipata umaarufu miaka ya elfu moja mia tisa na tisini.baada ya kutoa albamu yake ya pili My Way ambayo ilimweka nambari moja katika chati ya Billboar na wimbo wa Nyce and Slow. Albamu iliyofuatilia ya 8701 ilitoa nyimbo mbili katika chati ya Billboard nyimbo bora mia moja na nyimbo za U Remind Me na U Got It Bad. Albamu zote mbili ziliuza zaidi ya kanda milioni nane kote duniani,na kumtengeneza awe moja kati ya wasanii wauzaji bora wa Rnb miaka ya elfu moja mia tisa na tisini. Ushindi wake uliendelea miaka ya elfu mbili huku albamu yake ya Confessions ikiuza nakala zaidi milioni ishirini na Here I Am ya mwaka elfu mbili na nane ikiuza zaidi ya nakala milioni tano . Tarehe thelathini mwezi wa Machi,mwaka wa elfu mbili na kumi.Alitoa albamu yake ya sita iitwayo Raymond.V. Ambayo ilkua albamu yake ya tatu kuwai kukaa kati chati ya nyimbo bora mia mbili marekani.na ikahalalishwa kuwa Platinum na shirika la RIAA. RIAA ilimuorodhesha kuwa mwanamuziki muuzaji bora katika historia ya marekani.Ameuza nakala milioni ishirini na tatu marekani pekee. Gazeti la Billboard lilimuorodhesha kuwa mojawapa wa wasanii mia moja warembo,na msanii wa pili aliyefanikiwa miaka ya elfu mbili.

0
  • 词性: 专有名词
  • 同义词:
  • 词汇:
  • 行业/领域: 人物
  • 类别 音乐家
  • Company:
  • 产品:
  • 取首字母的缩写词:
添加至 My Glossary

您想要说什么?

您必须登录,才能发布信息讨论。

新闻词条

精选词条

ongaka yusuf walela
  • 0

    词条

  • 1

    词汇

  • 0

    关注者

行业/领域: 教育 类别 学校

elimu ya sehemu nyeti

kosa la kiaibu la tamko ambalo lilifaa kumaanisha "elimu ya umma" wakati wa udhamini uliotolewa na Wilaya ya Maeneo ya Shule za Simba ...

贡献者

精选词汇表

Must-Try Philippine Delicacies

类别: Food   4 20 词条

Social Psychology PSY240 Exam 1

类别: 科学   1 5 词条

按照类别浏览术语