
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > ushirika wa watakatifu
ushirika wa watakatifu
umoja katika Kristo wa wote waliokombolewa, waliomo duniani na waliokufa. ushirika wa watakatifu unakiriwa katika Imani ya Mitume, ambapo pia kufasiriwa kumaanisha umoja katika "mambo matakatifu" (communio sanctorum), hasa umoja wa imani na upendo unaopatikana kwa kushiriki katika Ekaristi (948, 957 , 960, 1474).
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
uliodhabitiwa ukweli
Uliodhabitiwa ukweli (AR) ni teknolojia ambayo unachanganya ulimwengu halisi ya habari na picha ya kompyuta-yanayotokana na maudhui, na zimetolewa ...