主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > lugha iliyodhibitiwa
lugha iliyodhibitiwa
Ni sehemu ya lugha ya kiasili ambayo huwa na vizuizi kuhusu namna sarufu na msamiati ili kupunguza ama kuondoa utata na uchangamano. Lengo lake ni kuyafanya matini kuwa nyepesi na yanayoeleweka. Lugha iliyodhibitiwa ni hitaji muhimu katika kufanikisha utafsiri kwa kutumia tarakilishi.
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
Bob Dylan (almasi, Watu, wanamuziki)
mwimbaji-mtunzi wa nyimbo na mashairi, pia inajulikana tangu miaka ya 1960 alipoanza kuonekana kama sanamu za machafuko ya kijamii na mabadiliko kwa ...