主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS)
mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS)
Mfumo wa usimamizi wa yaliyomo (CMS) ni kifaa cha programu ambacho hutoa usimamizi na utawala wa uandishi, ushirikiano na kufanya otomatiki uzalishaji wa waraka. CMS hurusu nambari kubwa ya waandishi na wafanyi kazi wengine wa maarifa kufanya kazi kwa kushirikiana kuchangia kuendeleza yaliyomo. Hukuza udhibiti mzuri kwa kuinua yaliyomo yaliyoko, ufanisi uliohimarika kwa kuzuilia juhudi rudufu na za kujirudia, na gharama za uandishi kijumla zilizopunguka. CMS pia hufanya utafsiri wa yaliyomo kuwa rahisi zaidi kwa sababu hutenganisha matini kutoka kwa tagi ya uumbizaji.
Ikijumlishwa na XML, CMS hurusu yaliyomo kukuzwa mara moja na kuchapishwa kwa aina mbali mbali ya matokeo kama vile wavuti, PDF au nyaraka zilizochapishwa.
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
Jumanne bora
Inahusu tarehe muhimu katika kalenda ya kampeni - kwa kawaida Machi mapema - wakati idadi kubwa ya mataifa ya uchaguzi ya msingi. Matumaini ni kwamba ...