![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > maisha
maisha
Zawadi za Mungu kwa maisha ya binadamu na maisha yake Mungu tuliyopewa kama neema inayotakasa. Zaidi maana yake ya kawaida ya maisha ya binadamu, Yesu alitumia "maish " kuashiria kuwepo wake katika Utatu, ambayo inawezekana kwa wale ambao huitikia mwaliko wake ili kugeuka kutoka kwa dhambi na kufungua mioyo yao kwa upendo wa Mungu. Uzima wa milele kunaashiria kwamba zawadi hii itadumu milele katika furaha ya mbinguni. Kipawa hiki cha Mungu kinaanza na "maisha" ya imani na "maisha mapya" ya Ubatizo (1225), kinawasilishwa katika kutakatifuza neema (1997), na kufikia ukamilifu katika ushirika wa maisha na upendo na Utatu Mtakatifu mbinguni (1023).
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
行业/领域: 网络硬件 类别
mtandao wa tarakilishi
mfumo wa vifaa vya tarakilishi viliyounganishwa kiugawana vibali kwa taarifa