![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > Eastertide
Eastertide
msimu wa siku 50 kutoka Jumapili ya Pasaka mpaka Whitsunday (Pentekoste). Kila Jumapili ya msimu huchukuliwa kama Jumapili ya Pasaka, na baada ya Jumapili ya Ufufuo, wao huitwa Jumapili ya 2 ya Pasaka, Jumapili ya 3 ya Pasaka, na kuendelea hadi Jumapili ya 7 ya Pasaka.
Eastertide ni muhimu katika kalenda ya wakristo kwasababu husherehekea Kristo aliyefufuka na mafundisho yake na kuonekana,vile vile mwanzo wa Kanisa la Kikristo.
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
uliodhabitiwa ukweli
Uliodhabitiwa ukweli (AR) ni teknolojia ambayo unachanganya ulimwengu halisi ya habari na picha ya kompyuta-yanayotokana na maudhui, na zimetolewa ...