![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > huduma
huduma
huduma au kazi ya utakaso inayofanywa kwa mahubiri ya neno na maadhimisho ya sakramenti na wale wa Daraja (893, 1536), au katika hali ya kuamua, kwa walei (903). Agano Jipya linazungumzia aina za huduma katika Kanisa; Kristo mwenyewe ndiye chanzo cha huduma katika kanisa (873-874). Maaskofu, makuhani, na mashemasi wametakaswa kuwa wahudumu katika Kanisa (1548).
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
Iowa Kamati za Wabunge
Kamati za Wabunge Iowa ni mfululizo wa mikutano ya uchaguzi uliofanyika kwa wanachama wa ndani na chama cha siasa na kuchagua wajumbe kwa mkataba wa ...