![](/template/termwiki/images/likesmall.jpg)
主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > parachichi
parachichi
Tunda lililo na virutibishi vingi linalojulikana kwa kupatikana kwa wingi,umbo kama siagi na ladha laini kama ya karanga Inatoka kwenye jina la Kinihuati "korondani", pengine kutokana na umbo lake Asilimia 80 ya mmea nchini Marekani hutoka California Parachichi huwa kiungo kikuu cha saladi ya "guacamole"
0
0
完善词条
您想要说什么?
新闻词条
精选词条
udhibiti wa uhalifu
Mbinu zilizotumika kupunguza au kuzuia uhalifu katika jamii kwa kudhibiti vitendo au vitendo uwezekano wa wahalifu. Hizi ni pamoja na kutumia adhabu ...