主页 > 词条 > 斯瓦希里语 (SW) > ugawanyaji upya wa wilaya
ugawanyaji upya wa wilaya
Kuchora mipaka ya kisiasa kwenye kiwango cha mashinani, kitaifa na shirikisho baada ya kila mwongo kufuatia sensa ya Marekani.
hili hufanyika ili kuonyesha mabadiliko kwenye idadi ya watu na kusawazisha ama kupunguza idadi ya watu kwenye kila wilaya. Mchakato huu unaweza kusababisha utata kwa sababu ya woga kuwa chama kinacho kinachoungwa mkono zaidi kinaweza kimakusudi kuingilia swala la mipaka kwa manufaa yake katika uchaguzi unaofuata.
0
0
完善词条